Vacancies


Nafasi ya mtunza mazingira (Gardener) pot: 01- Arusha mjini

Kazi ya mfanya usafi wa mazingira (gardener) nafasi: 01 mahali Arusha manispaa.
Tuma maombi yako katiak email. touch.and.clean@gmail.com
Ambatanisha barua ya maombi, namba au kadi ya NIDA, barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, usisahau kuweka namba ya simu utakayopatikana.
sifa:
1.Awe mwanaume, 
2. Awe amemaliza darasa la saba au kidato cha nne.
3. Awe Mtanzania
4. Awe na miaka 18 au zaidi
5. Asiwe mlevi
6. Asiwe ameisha shiriki uhalifu. 
 Mwisho wa kutuma maombi tarehe 30/6/2024 

Thank You.
We look forward for providing you with superior service at a competitive price. Visit us on